KADA WA CHADEMA HAJAUA

 Jeshi la Polisi limesema kifo cha Joseph Remigius (52), Mkazi wa Kijiji cha Karagara, Wilaya ya Misenyi ambaye alichukua fomu ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa Kijiji kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimetokana na ajali wakati akiwa amebebwa na Bodaboda (Pikipiki), Oktoba 31, 2024.

Taarifa ya Polisi imeeleza Remigius alipata ajali usiku akiwa anatoka kwenye Baa alipokuwa akinywa pombe, akafikishwa Kituo cha Afya Minziro na kupatiwa matibabu na kuruhusiwa.



Chapisha Maoni

0 Maoni