MATOKEA YA KIDATO CHA NNE 2025


 Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne Elimu ya Msingi 2025.

‎ Matokeo yametangazwa tarehe 31 Januari, 2026 jijini Dar es Salaam.

‎Jumla ya watahiniwa 569,883 walifanya mtihani wa kumaliza elimu ya sekondari.

‎Watahiniwa waliosajiliwa katika shule ni 5,864 na wahitimu wa kujitegemea ni 25,927.

‎ Wahitimu wa kujitegemea waliosajiliwa katika vituo ni 813.

‎Haya hapa matokeo ya Kidato cha Nne 2025👇👇👇👇👇👇👇

Chapisha Maoni

0 Maoni