Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akikagua vitambulisho vilivyozalishwa wakati wa ziara ya ukaguzi wa vitambulisho hivyo uliofanyika katika Kituo cha Kuchakata Taarifa cha Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa(NIDA),katikati ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa mamlaka hiyo,Omar Mmanga na kulia ni Meneja Uzalishaji Vitambulisho vya Taifa,Jeremia Kiverege.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,George Simbachawene(wa akikagua vitambulisho vilivyozalishwa wakati wa ziara ya ukaguzi wa vitambulisho hivyo uliofanyika katika Kituo cha Kuchakata Taarifa cha Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa(NIDA),watatu kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa mamlaka hiyo,Omar Mmanga .Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,George Simbachawene akioneshwa ukaguzi wa kitambulisho kwa kutumia mfumo uliowekwa kwenye simu na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa(NIDA),Omar Mmanga.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,George Simbachawene akikagua vitambulisho vilivyozalishwa wakati wa ziara ya ukaguzi wa vitambulisho hivyo uliofanyika katika Kituo cha Kuchakata Taarifa cha Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa(NIDA),kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa mamlaka hiyo,Omar Mmanga.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,George Simbachawene akioneshwa taarifa za muombaji wa kitambulisho na Meneja Uhakiki na Usambazaji Vitambulisho,Emmanuel Joshua wakati wa ziara katika Kituo cha Kuchakata Taarifa cha Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA),Omar Mmanga.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
0 Maoni