MPINA RASMI ANG'OLEWA KINYANG'ANYIRO CHA URAIS WA TANZANIA

Mgombea wa kiti cha Urais,Luhaga Mpina Rasmi Jina lake limeondolewa  kwenye orodha ya wagombea wa kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025.







Chapisha Maoni

0 Maoni