Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Kaliua katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho mkoani Tabora tarehe 11 Septemba, 2025.
.jpeg)
.jpeg)
0 Maoni