WAANDISHI WA HABARI MSIPOKEE BAHASHA NI UTUMWA - PADRE MASENGE

 Mkurugenzi wa Mawasiliano Jimbo la Dar-es-salaam na Tumaini Media , Pd. Joseph Masenge Amewataka waandishi wa Habari Kutumia karamu zao kueneza ujumbe wa mwenyezi mungu na Amani njema wasiwe waandishi wa Habari wa Bahasha.

Padre Masenge Amesema Tumuombe Mt.Paulo atuombe tusiwe waandishi wa Habari wale wa Bahasha Bali tuwe waandishi wa Habari wa kupeleka ujumbe wa kweli.

" Changamoto moja wapo ambayo imewakumba waandishi wa Habari Yale maadili ya Uandishi wa Habari tumeanza kuyaweka pembeni tunakimbilia Habari ambazo zenye Bahasha" Amesema Padre Masenge 


Chapisha Maoni

0 Maoni