YANGA YAMTIMUA MASTER GAMONDI

 Uongozi wa Yanga Sc, umevunja mkataba na kocha mkuu wa kikosi hicho Miguel Gamondi pamoja na kusitisha mkataba wa kocha msaidizi wa kikosi cha kwanza Moussa Ndaw.




Chapisha Maoni

0 Maoni